
WAKAZI KISAKI WAACHA UJANGIRI HIFADHI YA NYERERE BAADA YA TANAPA KUTOA UFADHILI WA MASOMO, MIRADI YA MAENDELEO
WAKAZI wa Kijiji cha Kisaki kilichopo mkoani Morogoro wamesema kwasasa wameacha ujangiri baada ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kupitia Hifadhi ya Nyerere kutoa ufadhiri wa masomo ya elimu ya juu na kati kwa vijana zaidi ya12 pamoja na ufadhiri wa fedha mbegu katikka vikundi 15 vilivyopo kwenye Kijiji hicho. Wakizungumza kwa nyakati tofauti,…