Admin

Samsung introduces device financing to facilitate smartphone penetration in the country. – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Dar es Salaam. According to a Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) report, more Tanzanians are now using smartphones as the numbers of feature phone users start declining. The statistics indicate that the usage of smartphones among Tanzanians increased from 15% in December 2021 to 32.59 percent in March 2024. This is a positive sign…

Read More

Samsung Electronics Names Young Hyun Jun as New Head of Device Solutions Division – MWANAHARAKATI MZALENDO

Samsung Electronics today announced that Young Hyun Jun was named as the new Head of Device Solutions (DS) Division to lead the Company’s semiconductor business and strengthen its competitiveness amid an uncertain global business environment. Vice Chairman Jun, who has extensive experience in the semiconductor and battery businesses, joined Samsung Electronics in 2000 and worked…

Read More

Oscar Kambona: Swahiba wa Nyerere aliyegeuka adui

Dar es Salaam. Oscar Kambona ni mmoja wa wanasiasa wa mwanzo wakati wa harakati za kupigania uhuru, alifanya kazi kwa karibu na Mwalimu Julius Nyerere, walikuwa ni marafiki walioshibana kabla na baada ya uhuru, kwenye chama na serikalini. Hata hivyo, urafiki wao uliingia doa miaka michache baada ya uhuru ambapo wawili hao walikuja kuwa maadui…

Read More

URASIMISHAJI MAKAZI KUBORESHWA-WAZIRI SILAA – MICHUZI BLOG

 Na Munir Shemweta Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amesema zoezi la urasimishaji linaloendelea maeneo mbalimbali nchini litaboreshwa ili kuleta ufanisi. Mhe. Silaa amesema hayo tarehe 21 Mei 2024 wakati wa semina kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii kuhusu Utekelezaji Mradi Uboreshaji Usalama…

Read More

Ni mwanzo wa mwisho wa uongozi wa wazee Afrika?

Kama kipimo cha ujana ni chini ya umri wa miaka 50, basi Afrika ilikombolewa na vijana. Ukianzia kwa  Kwame Nkrumah, aliyeiwezesha Ghana kupata uhuru akiwa na umri wa miaka 47, hadi Mwalimu Julius Nyerere, aliyeiondoa Tanganyika kutoka kwa wakoloni Uingereza, akiwa na umri wa miaka 39. Ahmed Sekou Toure, aliyeipa Guinea uhuru, akiwa na umri…

Read More

PROFESA KITILA AFUNGUA WARSHA YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA UWEKEZAJI NCHINI YA MWAKA 2023

Na Mwandishi wetu Dodoma Wataalamu na wadau wa sekta zinazohusika na shughuli za uwekezaji nchini wameshiriki katika warsha ya kupitia rasimu ya ripoti ya uwekezaji nchini ya mwaka 2023 na kutoa maoni yatakayosaidia Serikali kuwa na mfumo jumuishi wa ukusanyaji taarifa za uwekezaji nchini ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa hizo. Akifungua warsha hiyo, jijini Dodoma…

Read More

FYATU MFYATUZI: Namna ya kuukwamua mgongano-muungano wetu

Fyatu Mfyatuzi, mwanazuoni, mzalendo, na mwanamapinduzi asiye kifani, nimejitoa kuchangia madini ya kuondokana na mgongano-muungano. Sihitaji kukaribishwa wala kulipwa kusaidia kufanikisha azma ya kuwa na kaya tulivu yenye mshikamano ambavyo haviwezi kupatikana kwa kuogopana, kudanganyana, kuzidiana akili au kufyatuana ilivyo. Muungano unataka vichwa vinavyochemka, ukweli, ushupavu, uwazi, uzalendo na utayari kufanya ambacho kimombo huitwa ‘give…

Read More

TIRDO WAPONGEZWA ZOEZI LA UKUSANYAJI TAARIFA ZA VIWANDA NCHINI

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Omari S.Shaaban amepongeza zoezi la ukusanyaji taarifa za Viwanda inayofanywa na Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO). ‘’Hili zoezi ni muhimu sana hakikisheni mnalikamilisha kwa wakati ili walengwa waweze kupata taarifa sahihi kwani maendeleo ya Viwanda nchini inategemea taarifa…

Read More