
Vyama vya ushirika 334 vyafilisika Geita
Bukombe. Vyama vya ushirika 334 kati ya 590 vilivyopo mkoani Geita vimefilisika na kushindwa kujiendesha kutokana na kukosa mitaji toshelevu Kufilisika kwa vyama hivyo kumetokana na mabadiliko ya sheria ndogo za huduma ndogo za fedha zinazotaka chama kiwe na mtaji usiopungua Sh10 milioni pamoja na kuwa kwenye mfumo wa ‘move’, jambo lililofanya vyama vingi kukosa…