
Serikali yatoa ufafanuzi ukomo uwekaji alama za upana wa barabara
Dodoma. Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ukomo wa kuweka alama za upana wa barabara kwa kuzingatia sheria za mwaka 1932 na 2007. Ufafanuzi huo umetokana na swali la msingi la Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu ambaye amehoji bungeni leo Mei 21, 2024 akitaka kujua ni upi ukomo wa kuweka alama za upana wa barabara mpaka…