
DC KONGWA ATAKA WADAU KUTUMIA NJIA MBALIMBALI KUSAMBAZA ELIMU KUHUSU SUMUKUVU
\ MKUU wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Simon,akizungumza wakati wa hafla ya kufungua kikao cha mrejesho wa matokeo ya utafiti na mafunzo ya kupunguza sumukuvu katika mazao baada ya kuvuna kilichofanyika wilayani humo. MAKAMU Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela,Arusha Prof.Maulilio Kipanyula,akizungumza wakati wa hafla ya kufungua kikao cha…