
Kikosi Yanga chamkosha kipa Tabora United
KIPA wa Tabora United, John Noble amesema Yanga ilistahili kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, akitaja sababu ni ubora na ilikuwa na kikosi cha wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kuamua matokeo. Noble amesema Yanga imekuwa imara kila idara kuanzia kipa, mabeki, viungo na washambuliaji, jambo analoona limeinufanikisha kuchukua ubingwa huo. “Mfano kipa wa…