
Ibrahim Raisi:Rais aliekuwa mwandani wa Ayatollah Khamenei – DW – 20.05.2024
Ebrahim Raisi, aliyefariki Jumapili katika ajali ya helikopta, alifanya kazi katika mahakama ya Iran kwa zaidi ya miongo mitatu kabla ya kuapishwa kuwa rais mnamo Agosti 2021. Raisi mwenye umri wa miaka 63 alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na, wachambuzi wanasema, alikuwa na uhusiano wa karibu na Kiongozi wa…