
Huduma hisa, hati fungani kupatikana matawi ya NMB
Dar es Salaam. Ili kuongeza ushiriki wa wananchi katika soko la mitaji nchini, Benki ya NMB imesaini makubaliano na kampuni ya uwakala na ushauri wa uwekezaji ya ORBIT Securities, ili kuiwakilisha katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE). Hatua hiyo inakuja baada ya NMB kupata idhini kuwa wakala wa madalali wa soko la…