
Benki ya CRDB yaendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini
Katika utekelezaji wa Sera yake ya Uwekezaji kwenye Jamii, Benki ya CRDB imeendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini. Jitihada hizo zimefanyika mkoani Manyara, katika Wilaya za Mbulu na Babati, siku chache kabla ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jumamosi ya tarehe 18 Mei 2024 Baadhi…