Admin

Banda aoa mke mwingine, mdogo wa Kiba ndo basi tena

BAADA ya maswali mengi juu ya ndoa ya beki wa klabu ya  Richards Bay inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini, Mtanzania Abdi Banda, mwenyewe kajitokeza na kufafanua ilivyokuwa. Staa huyu amethibitisha kuachana na mkewe wa kwanza, Zabibu Kiba ikiwa ni moja ya swali linaloulizwa na mashabiki wengi hususani mitandaoni, baada ya kuona picha za harusi yake…

Read More

Samatta abeba kombe Ugiriki – Mtanzania

Na Mwandishi Wetu Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Samatta ametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Ugiriki akiwa na timu yake ya PAOK baada ya kuifunga Iris mabao 2-1 ugenini. Ikiwa ni msimu wake wa kwanza na timu hiyo aliyojiunga nayo akitokea Fenabahce ya Uturuki, amehusika katika mabao sita, akifunga mawili…

Read More

Watoto 18 kutoka mazingira magumu wajifunza Kichina

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiingiza lugha ya Kichina kwenye mitaala ya masomo ili ifundishwe shuleni, tayari watoto wa Kitanzania wamefadhiliwa kusoma bure lugha hiyo. Watoto hao 18 wanaotoka katika mazingira magumu, wanafadhiliwa kujifunza lugha hiyo na Chama cha Mabuddha cha China kilichopo hapa nchini, ambapo wakimaliza itawawezesha kupata kazi ili wajikimu kimaisha. Hayo yamebainishwa…

Read More

Mtibwa pointi, Namungo nafasi, | Mwanaspoti

MECHI ya Mei 20, itakayopigwa Uwanja wa Namungo, Morogoro, itakuwa ya kusaka nafasi kwa Namungo kupanda nafasi za juu kwa  Mtibwa Sugar kuongeza pointi hata ikishinda itasalia nafasi ileile (mkiani). Namungo imecheza mechi 27, imeshinda  saba sare 10 na imefungwa  10, inamiliki mabao 22, imefungwa mabao 25 na imekusanya pointi 3, ipo nafasi ya nane, …

Read More

Cadena, Simba ni suala la muda tu

KLABU ya Simba iko mbioni kuachana na kocha wa makipa wa timu hiyo, Dani Cadena baada ya mkataba wake kumalizika mwisho wa msimu huu. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zimeiambia Mwanaspoti kwamba, Cadena hana mpango wa kuongeza mkataba mwingine licha ya viongozi wa Simba kupambana kumuongezea mwaka mmoja zaidi. “Alisaini mkataba wa mwaka mmoja…

Read More

Ajira walioishia darasa la saba zaondolewa JWTZ

Dodoma. Serikali ya Tanzania imeaondoa utaratibu wa kuandikisha ajira kwa vijana wanaohitimu elimu ya darasa la saba kwenye Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ). Hayo yamesemwa leo Jumatatu Mei 20,2024 na Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Godfrey Pinda kwa niaba ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, alipokuwa akijibu…

Read More