Admin

Serikali yatoa sababu kukatika kwa umeme

Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Judith Kapinga amesema changamoto ya kukatika kwa umeme inayojitokeza katika baadhi ya maeneo, inasababishwa na uchakavu wa miundombinu. Uchakavu huo kwa mujibu wa Kapinga umetokana na miundombinu hiyo kutumika kwa muda mrefu, huku akifafanua Serikali ipo katika hatua ya kuiboresha. Kapinga ametoa kauli hiyo juzi Jumamosi…

Read More

Ligi Kuu Zenji sasa ni mwendo wa hat trick tu!

LIGI Kuu ya Zanzibar (ZPL) inazidi kuyoyoma, huku ikishuhudiwa idadi ya hat trick zikiongezeka baada ya jana Jumapili kupigwa nyingine mbili na kufanya idadi sasa ifikie sita wakati timu za Mlandege na Zimamoto zikipata ushindi mnono mbele ya vibonde Maendeleo na Jamhuri za Pemba. Mohamed Ali Mohamed wa Mlandege na Mgaza Seleman Ramadhan wa Zimamoto…

Read More

SMZ kupima kupima utendaji kazi watumishi kidijitali

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), itaanza kutumia Mfumo wa Kielektroniki wa Upimaji Utendaji Kazi (PA) ili kuongeza ufanisi katika taasisi za umma. Kwa sasa Serikali inatumia fomu ya upimaji utendaji kazi (PAF) kuwapima watumishi wa taasisi za umma, ambapo utekelezaji wake ulianza tangu Novemba 2019 hadi sasa unaendelea. Hayo yameelezwa na Waziri wa…

Read More

TUNA MKAKATI MAALUM NA COMORO- Prof JANABI

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,Prof Mohamed Janabi amesema kuwa wana mkakati maalum wa kutoa huduma za kisada za tiba kwa wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kutoka visiwa vya Comoro kutokana na ongezeko la idadi yao katika siku za karibuni. Prof Janabi alisema hayo alipokuwa akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Comoro,Saidi Yakubu…

Read More

Kiongozi Mkuu Iran amteua mrithi wa Rais Ebrahim

Kiongozi wa ngazi ya juu nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amemteua makamu wa kwanza wa rais wa Iran, Mohammad Mokhber, kuwa rais kufuatia kifo cha Rais Ebrahim Raisi katika ajali ya helikopta. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Makamu huyo wa rais amechukua madaraka hayo ikiwa zimesalia siku 50 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini…

Read More

Mkenya ashangazwa na kipigo, aipania ligi

Kocha Mkuu wa Coastal Union, David Ouma amesema ameshangazwa na matokeo waliyopata dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho (FA), akieleza kuwa ni muda mrefu tangu kuruhusu idadi kubwa ya mabao. Coastal Union ikicheza jana kwenye Uwanja CCM Kirumba jijini hapa ilikumbana na kichapo cha 3-0 dhidi ya Azam kwenye mchezo wa…

Read More

Watumishi 85,471 walioenguliwa kipindi cha JPM wapandishwa vyeo

SERIKALI imesema kuanzia mwaka wa fedha 2021/2022 hadi sasa jumla ya watumishi 375,904 wamepandishwa vyeo wakiwemo watumishi 85,471 walioathirika na zoezi la uhakiki katika kipindi cha uongozi wa Serikali ya Hayati John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Aidha, imewaagiza waajiri wote kupeleka taarifa za madeni ya watumishi ambao waliathiriwa na uhakiki uliofanyika katika kipindi…

Read More