
Othman: Umefika wakati Zanzibar kuacha kufanyiwa vitu kwa hisani
Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud amesema umefika wakati Wazanzibari kujiamulia na kupanga mipango yao wenyewe ili watu wake waishi kwa uhuru. Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar alitoa kauli hiyo leo Jumapili, Mei 19, 2024 wakati akizungumza na viongozi wa chama hicho katika mikoa mitatu ya…