
Yanga yaichapa Ihefu, yaifuata Azam fainali Kombe la Shirikisho (FA)
YANGA imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu FC katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini hapa na kutinga fainali. Ushindi huo uliopatikana kwa bao la Stephane Aziz Ki baada ya kumalizia pasi murua ya Pacome Zouzoua dakika ya 101, umeifanya Yanga…