
Wasiwasi kifo cha Askofu anayedaiwa kujinyonga wawaibua tena Polisi
Dodoma. Kufuatia kauli ya ndugu wa marehemu Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist Tanzania (TMC), Joseph Bundala kudai wana wasiwasi ndugu yao hakujinyonga na kutaka uchunguzi zaidi ufanyike, Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema bado linaendela na uchunguzi wa tukio hilo. Askofu Bundala alikutwa amekufa akidaiwa jinyonga kwa kutumia waya wa simu Mei 16, 2024…