
WIZARA YA MADINI, WAFANYABIASHARA WA BARUTI WAJADILI CHANGAMOTO
DODOMA: Kamishna wa Madini Dk Abdulrahman Mwanga ameongoza kikao kazi cha wataalam wa Wizara, Tume ya Madini na wawakilishi wa Umoja Wafanyabiashara wa Baruti Tanzania (TEDA) kilicholenga kujadili changamoto zinazohusiana na biashara ya baruti nchini. Kikao hicho kilichofanyika leo Mei 18, 2024 katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma, kimetumika kupokea changamoto, maoni, mapendekezo na ushauri…