
Kambi ya matibabu ya kibingwa Ruangwa yaacha vilio, DC atoa ombi JAI
MKUU wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma amefunga rasmi kambi maalumu ya Uchunguzi na Matibabu kwa Wakinamama iliyokua ikitoa huduma za matibabu ya kibingwa kutoka kwa madaktari bingwa na bobezi wa magonjwa tofauti huku ukiacha vilio kwa wananchi hao wenye hali duni za kimaisha wakiwa hawajui hatma yao baada ya kubaini changamoto zao. Anaripoti Yusuph…