
Sido yaja na mwarobaini kukabili sumu kuvu
Lindi. Vijana zaidi ya 50 wamepatiwa mafunzo ya utengenezaji wa vihenge ili kukabiliana na sumu kuvu. Mafunzo hayo yametolewa na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido)Mkoa wa Lindi. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi Mei18,2024 wakati wa kufunga mafunzo hayo, Mratibu wa Kuendeleza Teknolojia, Mhandisi Abraham Malay amesema mafunzo hayo yamelenga kuwasaidia vijana kukabiliana na…