Mabilioni kuwainua wakulima wa viungo Tanzania
Wafanyakazi katika kiwanda cha kuchakata viungo Cha Horizon Group wakitayarisha mazao hayo katika mji wa Kaduna. Nigeria. Wakulima wa Viungo nchini Tanzania, Nigeria na Madagascar watanufaika na mipango kabambe wa maboresho ya mazao hayo ili kukidhi viwango vya kimataifa na kukuza mauzo. WAKULIMA wa mazao ya viungo Tanzania wamepata neema mpya kufuatia uamuzi wa kampuni…