
Bajana, Malckou wafanyiwa upasuaji, kukaa nje miezi minne
Klabu ya Azam FC imethibitisha kuwa itawakosa nyota wa kiungo mkabaji, Sospeter Bajana na beki wa kati, Malickou Ndoye kwa miezi minne baada ya kufanyiwa upasuaji wa majeraha yaliyokuwa yakiwasumbua. Nyota hao wamefanyiwa upasuaji wa maungio ya mifupa ya nyonga ya kulia na kushoto (pubis symphysis), uliofanyika nchini Afrika Kusini katika Hospitali ya Life Vincent…