
DKT. NCHEMBA AONGOZA MKUTANO WA 16 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI AFRIKA MASHARIKI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (katikati), akiongoza Mkutano wa 16 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Fedha na Uchumi (SCFEA) na mkutano wa Mashauriano ya Kibajeti wa Mawaziri wa Fedha na Uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango wa Sudani Kusini, Mhe….