Admin

KHRC yawashtaki mawaziri kwa uzembe – DW – 18.05.2024

Kelly Malenya, wakili wa KHRC, ameliambia shirika la habari la Ujerumani dpa kwamba waliwasilisha kesi hiyo mahakamani hapo jana na kwamba wamewashtaki Kithure Kindiki Waziri wa Mambo ya Ndani, Soipan Tuya waziri wa Mazingira na Alice Wahome waziri wa Ardhi. Mwanasheria mkuu Justin Muturi ni miongoni mwa watu wanaohusishwa pia katika kesi hiyo inayolikabili pia…

Read More

Mfumo wa ulinzi Ikulu, makazi ya Rais kuimarishwa

Unguja. Ofisi ya Rais, Ikulu, kwa mwaka wa fedha 2024/25 imepanga kutekeleza miradi mitatu ya maendeleo, ukiwamo wa uimarishaji wa mfumo wa ulinzi na usalama katika majengo ya Ikulu na makazi Rais. Akisoma hotuba ya bajeti Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, Ali Suleiman Ameir, amesema mradi mwingine ni uimarishaji wa mfumo wa ulinzi…

Read More

Tunataka Katiba lakini… | Mwananchi

Unguja. Ili kupata Katiba mpya, maendeleo ya demokrasia, chaguzi zenye haki na utawala bora, wadau wametoa mapendekezo wakitahadharisha madai yafanyike pasipo umwagaji damu. Viongozi wa dini, asasi za kiraia na wanasiasa wamesema umefika wakati wa kushirikiana kama Taifa bila kujali tofauti za vyama au dini kuandamana kwa njia ya amani kudai Katiba mpya, vinginevyo itapita…

Read More

JK atoa angalizo jamii kumsahau mtoto wa kiume

Dar es Salaam. Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa tahadhari akisema wakati nchi ikifanikiwa kumnyanyua mtoto wa kike, muhimu ni kutomuacha nyuma mtoto wa kiume kielimu. Amesema hatua hiyo itaisaidia nchi kusonga mbele katika ulimwengu wa sasa, kwani kumuacha nyuma mtoto wa kiume anaweza kuja kuwa tatizo katika jamii. Kikwete ameyasema hayo…

Read More

Askofu ajinyonga chanzo kikidaiwa ni madeni

Dodoma. Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu, akieleza chanzo ni madeni yaliyokuwa yanamkabili. Tukio hilo lilitokea jana Mei 16 saa moja usiku, kwenye choo cha ofisi yake, iliyoko ndani ya kanisa la Methodist, Meriwa jijini Dodoma. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Alchelaus Mutalemwa,…

Read More

NHC yanunua eneo la Urafiki

Dar es Salaam. Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua eneo la Urafiki, zikiwamo mali zilizokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China. Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa NHC, Muungano Saguya amesema hayo leo Mei 17, 2024 wakati wa ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Hamad Abdallah kutembelea miradi inayotekelezwa na shirika…

Read More

Lissu akabidhiwa gari lake, aomba msaada wa matengenezo

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu leo Ijumaa amekabidhiwa gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8, VXR na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma na kuwaomba Watanzania wamsaidie kulitengeneza kisha lifanye kazi za siasa.  Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Lissu amekabidhiwa gari hilo lililokuwa limehifadhiwa katika Kituo cha Polisi Dodoma tangu aliposhambuliwa kwa risasi tarehe…

Read More