
TCB BANK NA METRO LIFE ASSUARANCE WASHIRIKIANA NA KUZINDUA BIDHAA YA BENKI BIMA
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV BENKI ya Biashara (TCB) kwa kushirikiana na Kampuni ya Metro Life Assuarance wamezindua bidhaa mpya ya Benki Bima kupitia huduma zake za ADABIMA na Saccos Schemes Credit Life ambayo inawapa usalama wa kifedha pamoja na kuleta ndoto na matarajio kwa wateja wao. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa bidhaa hiyo leo…