
Ethiopia yafungua njia ujenzi wa ubalozi Dodoma
Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Ethiopia kwa kuweka historia kwa kuwa nchi ya kwanza kujenga majengo ya Ofisi na Makazi ya Balozi katika Mji wa Serikali Dodoma na kutoa wito kwa nchi nyingine kuiga mfano huo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Pongezi hizo zimetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…