
Kenya yakabiliwa na kiunzi kupeleka polisi Haiti – DW – 17.05.2024
Chama cha kisiasa cha Muungano wa Thirdway Alliance Kenya na wanachama wake wawili waliwasilisha malalamishi hayo siku ya Alhamisi (16.05.2024) , wakisema kwamba serikali imepuuza amri ya mahakama iliyotolewa mwezi Januari. Mahakama ilisema hatua ya kupelekwa polisi wa Kenya nchini Haiti inakiuka katiba na ni kinyume cha sheria. Waliowasilisha hoja hiyo mahakamani hapo Alhamisi, wamesema…