
VIDEO: Moto wateketeza nyumba ya vyumba 12 Moshi
Moshi. Moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana, umeteketeza nyumba ya biashara yenye vyumba zaidi ya 12, baa na jiko. Nyumba hiyo ambayo ipo katikati ya Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, ilianza kuwaka moto saa 10 alfajiri ya kuamkia leo Ijumaa Mei 17, 2024. Hata hivyo, baadhi ya mashuhuda wameiambia Mwananchi Digital kuwa moto huo ungeweza…