
Mashauri ya ndoa yaongezeka | Mwananchi
Dodoma. Mashauri yanayohusu ndoa yaliyoshughulikiwa na kupitia Baraza la Usuluhishi la Ndoa yameongezeka kwa asilimia 8.3. Hayo yamesemwa leo Mei 17,2024 na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima alipokuwa akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2024/25. Bajeti hiyo imeomba Bunge kuwaidhinishia Sh67.90 bilioni…