
Aliyefungwa miaka 30 jela kwa ukatili, afungwa tena miaka 30 kwa ubakaji
Morogoro. Mahakama ya hakimu mkazi Morogoro imemhukumu Mohamed Salange (37) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wake wa kike wa kufikia mwenye umri wa miaka 12. Kosa hilo alilitenda kati ya Januari 2023 na Januari 2024. Mei 3, mwaka huu, Salange alihukumiwa kifungo kingine cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na kosa la ukatili dhidi ya mtoto…