
‘Tahadharini na dawa zinazotembezwa mitaani’
Iringa. Wananchi wametahadharishwa kununua dawa za binadamu zinazouzwa kwenye vyombo vya usafiri na zile zinazotembezwa barabarani kwa kuwa ni duni na huleta madhara kwa mtumiaji. Mara kadhaa dawa hizo zimekuwa zikiuzwa katika mabasi ya mikoani na hata daladala kwa madai kuwa zinatibu magonjwa mbalimbali. Tahadhari hiyo imetolewa leo Alhamisi Mei 16, 2024 na Mkuu wa…