Admin

EXIM Bank, Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania wapanda miti na kuchangisha damu  – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa benki ya EXIM, Stanley Kafu (aliyeshikilia kipaza sauti), akitoa maelezo kwa Dkt. Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati (wa tatu kutoka kushoto), kuhusu mipango ya EXIM alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Msalaba Mwekundu Duniani yaliyofanyika tarehe 11 Mwezi…

Read More

Mbangula naye anajishangaa | Mwanaspoti

WAKATI wadau na mashabiki wakijiuliza kasi ya straika wa Tanzania Prisons, Samson Mbangula kupungua, mwenyewe amesema naye anashangaa kwanini hafungi tangu alipoifunga Simba. Mbangula alikuwa na muendelezo mzuri wa kufunga mabao lakini tangu amefunga mabao mawili dhidi ya Simba, Machi 6 mwaka huu wakati Tanzania Prisons iliposhinda 2-1, hajaingia tena wavuni. Staa huyo ambaye ni…

Read More

Wanasiasa hawasaidii mchakato wa Katiba mpya

Seneta wa jimbo la Busia, nchini Kenya, Okiya Okoiti Andrew amesema Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya kwa kuwategemea wanasiasa pekee bali kila mwananchi anapaswa kushiriki kikamilifu kuidai. Anaripoti Salehe Mohamed, Zanzibar … (endelea). Kauli hiyo ameitoa leo Alhamisi katika mkutano wa demokrasia wa mwaka 2024 unaofanyika katika hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, ambapo amesema Kenya…

Read More

Jeshi la Polisi Arusha lapigwa jeki pikipiki 20

Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameahidi kwamba kabla ya kufikisha siku 100 za uongozi wake mkoani humo, atakuwa ametekeleza ahadi zake ikiwemo kuliwezesha Jeshi la Polisi mkoani humo kupata pikipiki 50, baisikeli 100 zinazotumia umeme  na magari 20. Amesema ataendelea kukusanya michango kutoka kwa wadau mbalimbali kufanikisha vitendea kazi hivyo na kuwa…

Read More

Mpole, Ninja wasaka nafasi za CAF

WATANZANIA wanaochezea soka Ligi Kuu ya DR Congo, mshambuliaji George Mpole (FC Lupopo) na beki Abdallah Shaibu ‘Ninja’ (Lubumbashi Sport), wamezungumzia namna kazi ilivyo ngumu kuelekea kumaliza msimu huu wa 2023/24. Mpole timu yake inaonekana kuwa na nafasi ya kucheza michuano ya CAF kwani ipo nafasi ya tatu, huku TP Mazembe ikiwa inaongoza ligi, lakini…

Read More