
Mwakatundu akamatwa akiwa na Milioni 29,374,000 ‘Guest’
Say Raymond Mwakatundu (31) mkazi wa jijini Dar es Salaam amekamatwa na Polisi mkoani Njombe akiwa na fedha kiasi cha Milioni 29,374,000 katika nyumba ya kulala wageni (Guest) mjini Makambako fedha ambayo inadaiwa ameipata kwa njia ya wizi. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema walimkamata Mwakatundu wakiwa wanafanya upekuzi wa kawaida katika…