
Mapambano kati ya Israel na wanamgambo yaendelea Gaza – DW – 15.05.2024
Mapigano kati ya vikosi vya Israel na wanamgambo yameshuhudiwa pia katika mji wa kusini wa Rafah ambao umekuwa kimbilio la raia katika vita vya zaidi ya miezi 7 kati ya Israel na kundi la Hamas. Kulingana na shirika la habari la AFP vita hivyo hadi sasa vimeshasababisha vifo vya zaidi ya watu 35,000 katika ukanda…