
THE DESK & CHAIR YAWATUA NDOO KICHWANI AKINAMAMA KITONGOSIMA KWA MILIONI 20
NA BALTAZAR MASHAKA,MAGU TAASISI ya The Desk & Chair Foundation,imekamilisha na kukabidhi mradi mkubwa wa kisima cha maji katika Kijiji cha Kitongosima wilayani Magu,utakaohudumia zaidi ya wananchi 2,000 wa kijiji hicho na wanafunzi 840 wa Shule ya Msingi Simakitongo. Pia mradi huo uliogharimu sh.milioni 20,utawanufaisha watumishi na watoto 75 wenye migongo wazi na vichwa vikubwa…