
27 wa tuma kwa namba hii wanashikiliwa na jeshi la polisi Dar es salaam
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam inawashikilia watu 27 kwa tuhuma za utapeli kupitia mtandao huku likikamata simu zaidi ya 41 na laini 88 za simu ambazo zinadaiwa kutumika kutuma jumbe za ulaghai wa utapeli wa fedha kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ikiwemo jijini Dar es salaam Akizungumza leo jijini Dare es…