
Benki ya NBC Yatoa Msaada wa Vifaa Tiba Hospitali ya Mpitimbi Songea.
Vifaa tiba hivyo vimekabidhiwa jana kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa huo Mhandisi Gilbert Donatius Simya aliepokea msaada huo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma. Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika hospitalini hapo jana ikihusisha viongozi waandamizi wa mkoa na hospitali hiyo akiwemo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Songea, Elizabeth Gumbo na Padre wa Jimbo…