
TEMESA, GAWS WAKUTANA KUBADILISHANA UWEZO KATIKA UTOAJI HUDUMA
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WATAALAMU kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) pamoja na Wataalamu kutoka Wakala wa Karakana Kuu ya kutengeneza Magari Zanzibar (GAWS) wamekutana kujadili namna watakavyobadilishana uwezo kuhakikisha taasisi hizo zinafanya vizuri katika utoaji huduma. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 14,2024 Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji GAWS…