Admin

Machungu intaneti bado yauma | Mwananchi

Dar es Salaam. Huenda athari zaidi za kukosekana kwa huduma ya mtandao wa intaneti, zikaendelea kuonekana kutokana na mazingira yanayoonyesha huenda tatizo hilo likachukua zaidi ya siku 10 tangu lilipoanza. Tatizo la kukosekana kwa mtandao huo, zilianza asubuhi ya Mei 12, mwaka huu baada ya kukatika kwa mkongo wa mawasiliano baharini wa SEACOM na EASSy…

Read More

India yaonesha nia duru ya tano ya kunadi vitalu

Ubalozi wa India Nchini Tanzania umekutana na kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa lengo la kupata taarifa zaidi kuhusu zoezi la kunadi vitalu vya utafutaji wa mafuta na gesi asilia linalotarajiwa kufanyika Tanzania Bara Mwaka huu. Mazungumzo hayo yamefanyika Mei 14, 2024 katika Ofisi za PURA – Dar…

Read More

Wagoma kubeba mimba, kisa kukosa huduma ya zahanati

Wanawake hao wamesema wanatumia nauli ya Sh14,000 mpaka Sh18,000  kutafuta huduma za afya Kijiji cha Bushiri TS; Wakazi wa Kijiji cha Mwembeni hali hiyo inawaweka katika hatari ya kupoteza maisha wao au watoto watakaowazaa S: Wanawake hao wamesema wanatumia nauli ya Sh14,000 mpaka Sh18,000  kutafuta huduma za afya Kijiji cha Bushiri By Rajabu Athumani, Mwananchi…

Read More

Meridianbet Yapiga Hodi Soko la Nasdaq Marekani

* “Meridianbet Yapiga hatua kwenye soko la Kimataifa na sasa habari njema kwa wateja wake ni kwamba wanaweza kuwa sehemu ya Kampuni hii kubwa ya ubashiri na michezo ya kasino kwa kununua hisa” UMEPITA Mwaka mmoja tangu yafanyike makubaliano ya maridhiano ya kibiashara kati ya Meridianbet na Golden Matrix Group, ilikuwa ni Januari 2023 sehemu…

Read More

SADC yazindua kanzidata ya dawa SMD

Dar es Salaam. Kanzi data ya dawa kwa ajili ya nchi wanachama wa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADC), Med Database SMD imeanzishwa ili kusaidia kila nchi kupata taarifa ya bei ya bidhaa za afya wakati wa kufanya ununuzi. Hatua hiyo imefuata baada ya mawaziri wa afya wa SADC, kuridhia taarifa ya mshauri…

Read More

Kamati kuu Chadema ‘yawafyeka’ wagombea hawa

Dar es Salaam. Usaili wa siku mbili wa wagombea wa nafasi mbalimbali katika kanda nne za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umeacha kicheko, kilio na simanzi kwa watia nia waliopenya na wanaodaiwa kukatwa majina yao baada ya kutokidhi vigezo. Mchakato huo ulioitimishwa usiku wa kuamkia leo Jumanne, Mei 14, 2024 ulikuwa wa moto na…

Read More