
Kamera kudhibiti mauaji ya wanyamapori Mikumi
Morogoro. Mradi wa ufungaji kamera maalumu za usalama kwa ajili ya kunasa matukio (CCTV) pembezoni mwa barabara ya Tanzania –Zambia, unatarajia kuanza siku yoyote. Kamera hizo zitakazofungwa katika kipande cha barabara yenye urefu wa kilomita 50 ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, zinalenga kudhibiti matukio ya mauaji ya wanyamapori ndani ya hifadhi hiyo. Akizungumza…