
Watu saba wamefariki Dunia na wengine sita kujeruhiwa kwenye ajali mkoani Morogoro
Watu saba wamefariki Dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya kutokea ajali iyohusisha gari aina Noah yenye namba za usajili T.101 DKB ikitokea Dumila kuelekea Morogoro mjini kugongana uso Kwa uso lori la Mizigo lenye namba za usajili RAS 980 XV likitokea Morogoro kuelekea Dodoma Ajali hiyo imetokea majira ya saa Mbili asubuhi eneo la…