Admin

Meridianbet weka pesa na Airtel Money utoboe kibingwa  

  Meridianbet na Airtel Money waja na promosheni mahususi kwa ajiri ya mabingwa wote wanaotumia airtel, hii ni kwa wote wateja wapya na wale walipo ukitaka kutafuta tobo la mabingwa basi meridianbet tumekutobolea tobo la kutoboa kibingwa. Kila siku mabingwa wanapatikana ndani miezi mitatu hata wewe unaweza kuwa bingwa, mashujaa wanafurahia kutoboa kibingwa na meridianbet…

Read More

Benki ya NBC Yazindua Kadi Uanachama Msalaba Mwekundu, Dkt Biteko Aguswa na jitihada zake ufanikishaji miradi mikubwa.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amepongeza jitihada za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuunga mkono jitihada za serikali katika kuongeza ujumuifu katika huduma za kifedha (financial inclusion) sambamba na kusaidia ufanikishaji wa miradi mikubwa ya kitaifa ukiwemo ujenzi wa miundombinu ya maji Mkoani Tanga kupitia hati fungani ya kijani…

Read More

SHINDA NA EXPANSE KASINO YA MERIDIANBET, JISAJI NA CHEZA

PROMOSHENI ya kuvuna mahela ya Meridianbet bado inaendelea kusaka washindi, Tsh 400,000,000/= zinakusubiri wewe, huenda unajichelewesha mwenyewe kuwa tajiri. Jisajili Meridianbet kisha shiriki kwenye shindano la kutafuta washindi kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Expanse. Wakati unaposhiriki shindano hili hakikisha tu unakuwa umejiandaa kutwaa ubingwa, mafanikio huanza na nia, katika safari…

Read More

WANANCHI WAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU

Na. Beatus Maganja Kufuatia changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu nchini, wananchi wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa hususani Shinyanga na Mwanza wamekubali na kuahidi kushirikiana na Serikali kukabiliana changamoto hiyo ili kupunguza adha kwa wananchi hasa wale wanaoishi pembezoni mwa hifadhi. Wakizungumza na waandishi wa habari katika ziara iliyofanywa na Mamlaka ya Usimamizi wa…

Read More