
Chama cha AfD chatajwa kuwa ni kundi la itikadi kali. – DW – 13.05.2024
Idara za ujasusi za Ujerumani kwa muda sasa zimekitaja chama hicho pamoja na tawi lake la vijana kuwa makundi yanayoshukiwa kuendesha itikadi kali za kisiasa za mrengo wa kulia. Uamuzi wa mahakama ya juu iliyoko mjini Münster umetolewa leo Jumatatu na ni uamuzi unaofuatia kesi ya rufaa iliyopelekwa na chama hicho cha AfD kupinga uamuzi…