
MBUNGE ABOOD AKABIDHI MADAWATI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA TSH, MIL. 28 KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA MAZIMBU MKOANI MOROGORO.
Madawati yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Mil. 28 yamekabidhiwa katika Shule ya Sekondari ya Mazimbu Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro Mjini kama sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe, Dkt. Abdulaziz M. Abood kufuatia ziara yake ya kutembelea na kukagua maendeleo ya Shule mpya zilizojengwa katika Halmashauri hiyo…