
Dk.Mpango aagiza trafki kuvaa makoti ya kamera kudhibiti rushwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuangalia upya mfumo mzima wa utoaji leseni, ukaguzi wa magari, matumizi ya teknolojia hususan kamera za barabarani na matumizi ya Body-cam jackets zitakazoonesha mazungumzo baina ya askari na madereva ili kudhibiti rushwa barabarani, kuimarisha weledi na uthabiti wa…