Singida Black Stars yawaachia maujanja Warundi
LICHA ya Flambeau du Centre ya Burundi kuondoshwa na Singida Black Stars katika raundi ya pili ya mtoano wa Kombe la Shirikisho Afrika, kocha wa kikosi hicho, Rukundo Jean de Dieu, amesema kuna mambo mengi wamejifunza na wanaenda kuyafanyia kazi. Rukundo amezungumza hayo baada ya timu hiyo kuchapwa mabao 3-1, katika mechi ya marudiano iliyopigwa…