
Wasira: Badala ya kulalamika, fanyeni kazi muwe kama Samia
Musoma. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewataka watu wanaohoji sababu za kumsifu mwenyekiti wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan, kuacha malalamiko na badala yake wajikite katika kufanya mambo yenye tija kwa maendeleo ya wananchi, ili nao wapate sifa. Wasira amesema si vibaya kiongozi kusifiwa pale anapotekeleza majukumu yake kwa ufanisi,…