
RAIS DKT. MWINYI AMTEMBELEA ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA AMANI ZANZIBAR MHE. HASSAN RAJAB NYUMBANI KWAKE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Bw. Hassan Rajab aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar, alipofika nyumbani kwake Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya kumsalimia na kumjulia hali yake leo 10-5-2024.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…