Admin

Vijana Kagera wamshauri Mwenyekiti UVCCM kuomba radhi

Faris katikati akiwa na wenzake kwenye moja ya kazi za chama Ni kwa kauli yake ya kupoteza wanaotukana mitandaoni Na Mwandishi Wetu, Kagera VIJANA wa Chama cha Mapinduzi  Mkoa wa Kagera wamemtaka Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa huo Faris Buruhan kuomba radhi au kujiuzulu kwenye nafasi yake kwa matamshi yake ya hivi karibuni kutaka kuwapoteza watu…

Read More

Mudathir afichua siri mabao ya jiooooni

KUNA siri kubwa nyuma ya mabao anayofunga kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya ambayo itawafunza wachezaji wengine kuzingatia baadhi ya mambo wanayoambiwa na makocha. Mwanaspoti limebaini kwamba asilimia kubwa ya mabao yake (tisa) amefunga kipindi cha pili, machache akifunga kile cha kwanza na Mudathri amefichua siri iliyopo. Sababu aliyoitaja Mudathir wanaporudi vyumbani, kitu kikubwa ni kusikiliza kwa…

Read More

Vijana UVCCM Kagera wataka mwenyekiti wao ajiuzulu

VIJANA wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera wamemtaka Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa huo Faris Buruhan kuomba radhi au kujiuzulu kwenye nafasi yake kwa matamshi yake ya hivi karibuni kutaka kuwapoteza watu wanaotukana viongozi mitandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera … (endelea). Faris alitoa kauli hiyo hivi karibuni akiwa kwenye ziara katika Mji mdogo wa Rulenge…

Read More

Haya ndio maajabu ya beki anayetajwa kutua Yanga

BEKI anayetajwa kusajiliwa Yanga, Chadrack Boka kutoka FC Lupopo ya DR Congo, inaelezwa anapokuwa uwanjani ni mmyumbulikaji katika kufanya majukumu zaidi ya nafasi yake na pia ana kasi na nguvu. Shuhuda wa hilo ni beki wa Lubumbashi Sport ya DR Congo, Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ aliyesema baada ya kukutana naye kwenye mechi ya ligi kuu,…

Read More

Kwa Wahehe sio mbwa tu, hata panya nao wanalika

Iringa. Wakazi wa Kijiji cha Ndengisivili wilayani Kilolo mkoani Iringa, wamesema ulaji wa panya umekuwa silaha kubwa katika kupambana na uharibifu wa mazao yao hasa mahindi shambani. Wamesema mbali na kuokoa mazao, nyama ya panya ina madini muhimu kwenye mwili wa binadamu jambo lililowafanya waipende nyama hiyo. Kati ya utani unaowatambulisha zaidi wakazi wa Mkoa…

Read More

Tanzania Top Rekodi:Rostam ameweka alama kubwa nchini

UONGOZI wa Tanzania Top Record (TTR), umebainisha kuwa wamejipanga kutembea kilometa moja peku ikiwa ni ishara ya kuenzi viongozi na watu mbalimbali ambao wamepambania taifa na kuacha alama hapa nchini. Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa TTR, Rahimu Idd, wakati wakijitambulisha kwa Waandshi wa Habari na kufafanua kuwa watakuwa wakishughulika…

Read More

Sitta ang’ang’ana wanafunzi watibiwe bure, Serikali yagoma

MBUNGE wa Urambo, Margaret Sitta, ameishauri Serikali iweke utaratibu wanafunzi wapatiwe huduma za afya bure kama inavyotoa huduma za elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Sitta ametoa ushauri huo leo Ijumaa, bungeni jijini Dodoma, akiuliza swali la Mbunge wa Sikonge, Joseph Kakunda, aliyehoji Serikali haioni…

Read More