
Waitara ahoji bungeni mwarobaini mauaji katika mgodi Barick North Mara
MBUNGE wa Tarime Vijijini (CCM), Mwita Waitara, ameitaka Serikali kutafuta mwarobaini wa visa vya mauaji ya vijana wanaodaiwa kuvamia maeneo ya Mgodi wa Barrick North Mara, baada ya kukosa maeneo rasmi ya kutekeleza shughuli zao za uchimbaji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza bungeni jijini Dodoma, leo Ijumaa, Waitara amedai kuna mgogoro kati ya…