
Mambo matatu kuwakutanisha Chadema Dar kesho
Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajia kukutana kesho Jumamosi Mei 11, 2024 katika ofisi yao kuu ya Mikocheni jijini Dar es Salaam. Hayo yamebainishwa jana Alhamisi Mei 9, 2024 kupitia taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje ya Chadema, John Mrema. Kamati hiyo inakutana…