Admin

Wananchi wasisitizwa kutunza vyanzo vya maji

Bodi ya maji Bonde la Wami Ruvu imeendelea kusisitiza wananchi kuacha kufanya shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya maji kwa kuzingatia Sheria za mita sitini Wito huo umetolewa na mwanasheria bodi ya maji Bonde la Wami Ruvu Aloyce Lyimo wakati akizungumza jukwa la wadau wa maji wa kidakio cha Wami ambapo amesema licha ya elimu…

Read More

Simba kama Yanga tu Chamazi

KAMA ilivyo kwa Mabingwa Ligi Kuu Bara, Yanga wamekuwa na bahati kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ndivyo ilivyo kwa Simba Queens na mechi nane ilizocheza hapo imeshinda zote. Simba hadi sasa iko nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi ya Wanawake (WPL) ikiongoza msimamo na pointi 37 baada ya mechi 13 ikishinda 12 na…

Read More

WAZIRI JAFO AHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema nishati safi ya kupikia inajumuisha mbinu zote zinazomuwezesha mtu kuandaa chakula bila kuathiri misitu. Amesema hayo wakati akishiriki mjadala wa Nishati Safi ya Kupikia kwenye kipindi cha Mizani kilichorushwa na Kituo cha Televisheni cha TBC1 tarehe 08 Mei, 2024…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Hasira za Gamondi zipo kwa wengi

JUZI pale Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ilikuwa imebaki kidogo watu waone Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi akimchapa vibao refa Abdallah Mwinyimkuu. Ilikuwa ni baada ya kumalizika kwa mechi baina ya timu yake na Kagera Sugar ambayo Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0. Kocha huyo raia Argentina alionekana kutofurahishwa na uamuzi wa kukataa bao…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Coastal wanapiga hela kwa akili

MWAKA 2020, Coastal Union ilipata fedha nyingi kupitia mauzo ya beki Bakari Mwamnyeto ambayo inakadiriwa kufikia takribani Sh 150 milioni. Coastal ilivuna fedha hizo nyingi kwa vile Mwamnyeto alikuwa bado na mkataba umesalia wa kuitumikia timu hiyo kwa miaka miwili zaidi. Kingine ambacho kilimfanya beki huyo wa kati kuwa lulu sokoni ni ushindani wa Yanga…

Read More

Sababu wanaume kuwa hatarini kupata kiharusi

Miongoni mwa tabia hatarishi kwa wanaume ni kutokuwa na mwamko wa kusaka matibabu, ikilinganishwa na wanawake. Tabia hii imeelezwa kuwa kisababishi cha vifo vya mapema, kwani wengi hushindwa kujua hali zao za kiafya, ikiwemo magonjwa mbalimbali, hasa yasiyoambukiza na hivyo kukosa tiba za mapema. Kiharusi ni miongoni mwa magonjwa yanayoongezeka kwa sasa, kikiathiri zaidi watu…

Read More