
Diane Rwigara kumvaa tena Rais Kagame
Mpizani wa Rais Paul Kagame, Diane Rwigara ametangaza kuwania tena urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Julai 15, 2024mwaka huu. Mbali na Diane, Rais Kagame ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 2000, anatarajiwa kupambana na Frank Habineza wa Chama cha Green na mgombea binafsi Philippe Mpayimana, kwenye uchaguzi huo. Diane, 42, kiongozi wa Chama cha People Salvation…